[00:01.276] Anachukua anaweka Waah! (Le général Dangote)[00:05.255] Anachukua anaweka Waah! (Le grand Mopao)[00:09.229] Anachukua anaweka Waah! (Osiamboka)[00:14.013] Anachukua anaweka Waah![00:16.948] Kaghamu kupendwa na[00:19.296] Kaghamu nasikia[00:21.076] Tamu kupendwa nawe[00:24.296] Tamu kupendwa nawe, tamu[00:29.278] Tamu kupendwa nawe[00:33.004] Oh maneno maneno, tumeyazoea[00:37.066] Vijineno neno, tushazoea[00:41.549] Wapenzi wangu ku-party[00:43.733] Kwani ninawahusu[00:46.214] Shepu yake mbaya, hivi inawahusu[00:50.185] Udangaji umalaya, wao inawahusu nini[00:54.497] Wamegusa pabaya na mwaka huu[00:57.237] Lazima wachuchumae[00:58.664] Wameingia cha kike (Eh waah!)[01:00.982] Cha kike[01:02.586] Wameingia cha kike[01:04.664] Cha cha kike (Twale!)[01:06.863] Wameingia cha kike (kwa penzi letu)[01:09.444] Cha kike (lazima watuchomai)[01:11.029] Wameingia cha kike (kwa penzi letu)[01:13.277] Cha cha kike[01:15.186] Aah Bakokote Babu Tale[01:19.453] Don Mendez, Ba Junior[01:23.809] Chumbani Hennessy[01:25.995] Hunipatia panadol[01:27.952] Kuchenga za Mеssi[01:30.118] Na mashuti ya Ronaldo[01:31.833] Yaani ndani nikiingia tu[01:34.284] Anachukua anaweka Waah![01:36.992] Ah kwenye gari[01:38.358] Anachukua anawеka Waah![01:40.970] Iwe jikoni ama varandani[01:42.792] Anachukua anaweka Waah![01:45.126] Doze doze, doze doze[01:46.807] Anachukua anaweka Waah![01:48.877] Yaani baadae salama joto[01:50.982] Toa leso nipepepee[01:53.367] Oya kombo joto[01:55.262] Toa leso nipepepee[01:57.186] Oya mzee kunami, jipepee[01:59.355] Oh Ricardo Momo, jipepe[02:01.387] Oya mama Ndangote, jipepe[02:03.442] Eeh Doni Fumbwe, jipepe[02:05.539] Juu juu, jipee[02:07.841] Juu juu juu, jipee[02:09.928] Juu juu, jipee[02:11.988] Juu juu juu, jipee[02:14.243] Na se[02:15.446] Na se[02:17.419] Na se[02:19.818] Na se[02:22.899] Fukama, fukama mwara[02:24.637] Fukama, fukama mwara[02:26.735] Fukama, fukama Diamond[02:28.851] Fukama, fukama Quadra[02:31.036] Fukama[02:31.744] Papa Mobimba, ya[02:33.195] Papa Mobimba, ye[02:35.298] Papa Mobimba, ya[02:37.435] Papa Mobimba, ye[02:39.244] Anyataka trop akokakate alobaka te Tsuba ye Yes![02:44.273] Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma[02:47.372] Akokaka te alingaka trop alobaka te Sukuma aa Yes[02:52.656] Tshuma tshuma tshuma tshuma[02:55.765] Papa Ngwasuma[02:58.022] Papa Ngwasuma (Jose Kusaga)[02:59.925] Papa Ngwasuma[03:01.534] Anzeli Ngwasuma[03:03.827] Dar es Salaam Ngwasuma[03:05.708] Diamond Ngwasuma (Uncle Shamte)[03:08.277] Kinshasa Ngwasuma[03:10.004] Asutara Ngwasuma[03:13.598][03:14.747] Eeeh aaah!![03:18.829] Eeeh Weeeh!![03:21.465] Usiniguse, usinitouch[03:23.903] Tusalimiane kwa miguu[03:25.970] Usiniguse, usinitouch[03:28.158] Tusalimiane kwa miguu[03:29.889] Ooh nasema usiniguse, usinitouch[03:32.292] Salamu iwe kwa miguu[03:34.408] Usiniguse, usinitouch[03:36.636] Tusalimiane kwa miguu[03:38.019] Ooh kwanza kaa mbali[03:39.435] Corona coro (ko simba te), corona coro[03:41.989] Mwenzako naogopa[03:43.477] Corona coro Akusana Mosika, corona coro[03:46.503] Kwa tena vaa maski[03:47.866] Corona coro De megre, corona coro[03:50.696] Mikono yako kuosha[03:51.831] Corona coro De Pirlo, Saint James[03:54.050] Corona coro Didi Stone[03:56.439] Didi Sontos[03:58.099] (Ayolizer)[04:00.457] Today is Today[04:01.447] The Boss The Boss The Boss[04:04.254] Aluzapao de lutin[04:05.929] Aluzapao de fortin[04:08.495] Mopao mokonzie eeh eeh